SOKETI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 206 Reaction score 50 Nov 1, 2010 #1 Tume ya uchaguzi inaendelea kutangaza matokeo ya majimbo mbalimbali nchini. Matokeo haya yanarushwa live katika television mbalimbali ikiwemo ITV. hadi sasa inaonyesha ktk majimbo mengi chama cha CCM kinaongoza katika maeneo mbalimbali.
Tume ya uchaguzi inaendelea kutangaza matokeo ya majimbo mbalimbali nchini. Matokeo haya yanarushwa live katika television mbalimbali ikiwemo ITV. hadi sasa inaonyesha ktk majimbo mengi chama cha CCM kinaongoza katika maeneo mbalimbali.
Bob_Dash Member Joined Nov 1, 2010 Posts 90 Reaction score 13 Nov 1, 2010 #2 Jamani hebu mtuwekee basi majina ya wabunge wa CHADEMA ama chama kingine mbali na CCM walioshinda,
Mwananzuoni JF-Expert Member Joined Apr 22, 2009 Posts 290 Reaction score 69 Nov 1, 2010 #3 matokeo yanaendeleaje? Tupe msimamo