Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mkuu zamwamwa zimebaki ngapi hapo?Achana na hii hesabu 5 zilizobaki kumalizia round ya kwanza
Yanga vs Biashara utd
Ruvu shooting vs Yanga
Mbeya city vs Yanga
Africa Lyon vs Yanga
Azam fc vs Yanga
Hapo katika points 15 mkijitaidi Sana mnapata 7
Ngoja Rage aje akufafanulie,maana anawaelewa vzrnini maana ya "consistency "
We utakuwa unakunywa mataputapu na kuvuta ugoro ndo maana unacomment utumboMkuu kwani nimeongea uongo? We subiri upepo ukate ukikimbia ntakutafuta majukwaa yote na tochi
Yanga wanapata wasichostahili kwa sasa
Yondani,Makambo,Tshishimbi,Gadiel,Ajibu,Kakolanya.....niendelee ?Simba in vikosi viwili kwanza hakuna mchezaji wa Yanga kwa uwezo wake anaweza pata namba simba
Mkuu inawezekana hakuna mchezaji wa Yanga anayeweza kupata namba Simba. Kwa uwezo binafsi inawezekana nyie mko juu ila linapokuja suala la kucheza kitimu na fighting spirit wachezaji wa Yanga wamewaacha hatua nyingi sana.Hao watacheza nafasi ya Nani pale Simba mkuu, utamtoa Wawa umueke yondan?
Makambo amtoe kagere? Kuwa serious kidogo mkuu
Sasa wawa anakitugani anachomzidi Kelvin? Makambo unamfananisha na striker gani Simba? Acha kujipofusha macho au unasikiliza sana mpira redioni mkuu,tembelea viwanjaniHao watacheza nafasi ya Nani pale Simba mkuu, utamtoa Wawa umueke yondan?
Makambo amtoe kagere? Kuwa serious kidogo mkuu
Poa ndugu yanatokea hayo
Sasa wawa anakitugani anachomzidi Kelvin? Makambo unamfananisha na striker gani Simba? Acha kujipofusha macho au unasikiliza sana mpira redioni mkuu,tembelea viwanjani
Mkuu tv zote hizi Kuna mtu anasikiliza redioni? Makambo hajafika hata nusu ya uwezo wa kagere, yondan tatizo bangi nyingi Leo Yuko vizuri kesho anaharibuSasa wawa anakitugani anachomzidi Kelvin? Makambo unamfananisha na striker gani Simba? Acha kujipofusha macho au unasikiliza sana mpira redioni mkuu,tembelea viwanjani
timu ya ubingwa inatakiwa iweje mkuuUbingwa?[emoji44][emoji44]amka mkuu kumekucha
Hakuna timu ya ubingwa hapo
Fisi FC A.K.A wana msimbazi wamepatwa na mchechetoLeo mmekuja na upepo?, upepo unapoendelea kupita anza kutafuta maneno mengine maana hili nalo kufikia round ya 20 litapotea kama zilizotangulia
Kikosi bora,kikosi kipana πππKama Simba au Azam went vikosi bora