Matokeo wanayopata Yanga kwa sasa ni upepo tu

Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka kipindi cha Manji timu ilipokuwa inashinda kila mechi walikuwa wanasema wananua mechi. Ila sasa tajiri hayupo wanagwaya kusems tunanunua mechi maana wanajua tutahoji kiaje na mnatukejeli hatuna pesa. Sasa kutafuta pakutokea wanajificha kwenye kivuli cha upepo.

Eti Yanga inashinda kwa bahati na hapo hapo akikaa na masela wenzake kijiweni anawaambia bahati haiji mara mbili. Mbona Yanga kashinda zaidi ya mara mbili?! Utaitaje bahati?!

Anyway BAHATI ni nini?!
 
Leo mmekuja na upepo?, upepo unapoendelea kupita anza kutafuta maneno mengine maana hili nalo kufikia round ya 20 litapotea kama zilizotangulia
Walianza kusema subiri waanze kutoka nje
 
Bahati ni Kama unavyoona Yanga timi mbovu lakini wanaambulia ushindi
 
Mikimikiani,taabu sana
 
Andaa sumu unywe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…