Matokeo wizara ya afya yametoka.

Rejonta

Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
44
Reaction score
16
matokeo ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya afya tayari yametoka leo mchana kwa maelezo zaidi tembelea website yao ujionee.
 
...mi nimo..? nichekie Gefu mkuu...
 
Ni kwel jaman mbona mim nilijarbu ikawa sjafanikiwa? Pliz kama vp naomba unichekie. Nime2mia jna la kassim hamza mussa
 
matokeo bado yaliyotoka ni ya wanaojiendeleza na masomo walioko kazini
 
Jamani wengine roho zetu zipo juu sana
maana mwaka jana niliomba na sikupata japo result zangu zilikuwa:
phys-C
chemistry-C
biology-B
maths-D
english-C

sijajua labda matokeo yangu ndo hayaridhishi?
Maana hata uwezo wetu ni duni na nna wadogo zangu wanahitaji kusoma pia kiasi cha kwamba nikikosa mwelekeo wangu wa elimu ndio unakuwa umeishia hapo kwa maana nimemaliza 2008 kidato cha nne na nilivyosikia ndio mwaka wetu wa mwisho ku apply tuliomaliza mwaka huo na wanavyozidi kuchelewesha ndivyo ninazidi kuugua sijui hatma yangu nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…