Jamani wengine roho zetu zipo juu sana
maana mwaka jana niliomba na sikupata japo result zangu zilikuwa:
phys-C
chemistry-C
biology-C
maths-D
english-C
sijajua labda matokeo yangu ndo hayaridhishi?
Maana hata uwezo wetu ni duni na nna wadogo zangu wanahitaji kusoma pia kiasi cha kwamba nikikosa mwelekeo wangu wa elimu ndio unakuwa umeishia hapo kwa maana nimemaliza 2008 kidato cha nne na nilivyosikia ndio mwaka wetu wa mwisho ku apply tuliomaliza mwaka huo na wanavyozidi kuchelewesha ndivyo ninazidi kuugua sijui hatma yangu nini??