Matokeo ya Arsenal na watabili

Matokeo ya Arsenal na watabili

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Ikifungwa watabili huibuka na kuweka itabili wao wa mwisho wa msimu. Ikishinda wanapoteaaaa. Daaaaah nchi ngumu sana hiii
 
Watu walishatabiri, chini ya Arteta hakuna kikombe chochote kikubwa kama Epl, Uefa na Europa Arsenal itakigusa.


Huu utabiri unaishi mpaka sasa .
 
Back
Top Bottom