Matokeo Ya Arsenal V Liverpool

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
1,278
Reaction score
1,553
Manchester United wamemtimua kocha wao Mourinho kwa kufungwa goli 3 kwa 1 na Liverpool.
Lakini Liverpool hao hao wakawafunga Arsenal goli 4 kwa 1 lakini huko Arsenal hakuna mgogoro na wala habari ya kumtimua kocha.
Nyie watu wa michezo , hii imekaaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushasema hawa ni arsenal na hawa ni man
U..afj arsenal alikufa tano..
 
Ulitaka Unai Emry afukuzwe?
 
Hatuna tabia hizo sisi. Tutaanza kufikiria hillo la kumtimua angalau akikaa miaka 10+ tukaona mwemendo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…