Elections 2010 Matokeo ya awali toka Mkoa wa Mwanza

moyo wanienda mbio hivi, na mimi siyo JK sasa jamani mwenzetu huyu atakuwa na hali gani saa hizi akianza kusikia mambo ndo hayo, wow ! ngoja nisubiri. Thank you guys for taarifa hizi.
 
[QUOTE said:
The Invincible;1195979]Itafutwe namna nzuri zaidi ya ku-post haya matokeo. Namna nyingine itakuwa mafuriko ya mabandiko na mvurugano.

Nakuunga mkono.MD p/se fanya mambo.Nashauri matokeo yawe posted kimkoa/kikanda kila mkoa na folder yake.
 
It could be good to use thanks... badala ya kuandika sana... Matokeo hayo ndiyo yanayonyesha kwamba kambi za CHADEMA ugawanaji wa kura utakuwa hivyo lakini kwenye kambi za CCM, wenzao wataenda mbali sana... lets wait and see! My final post on this... i will use thanks.
 
Kwa habari hizi mvinyo unashuka taratiiibu
 
mwanzo mzuri ktk jimbo la kawe osterbay ndio tunawawasi nayo katika maeneo yote kwa maana huku ndiko vigogo wa ccm wanakoishi kwahiyo inaelekea tutafanya vizuri sana maana tulikuwa hatutegemei kufanya vizuri maeneo ya oysterbay.
 
It could be good to use thanks... badala ya kuandika sana... .. i will use thanks.

Njia hiyo ingekuwa nzuri,isipokuwa unajua watu wanhitaji to vent off some pressure, so akiandika hata maneno mawili anapata ahuweni.
 
nna hamu ya kuona vituo vya watu 500 huku vijijini! lol!
 
Mwizi anaefukuzwa kimya kimya mwisho wake ni kifo..kwa hiyo hawajamaa wala hatuwapigii kilele..ni kwenda nao mdogo mdogo hivi hivi...siku ya mwisho sijui ndo wataanguka kwenye majukwaa kama walivyozoea! Kazi ni moja tuu...Dr wa ukweli Ikulu ni yako babaaaa!
 

chadema--307
ccm--------287
 
MODS/INVISIBLE==> Propose limit adding texts, rather alow update of results only on sheet; this will prevent magazeti for small things
 
Mwanzo mzuri naomba wenye matokeo mengine watuhabarishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…