Elections 2010 Matokeo ya awali toka Mkoa wa Mwanza

Hayo ya mjini kaka maeneo ya upanga dsm oysterbay masaki na msasani ccm imewavuruga si mchecho ina maana huku hakuna yesu wa chadema?
Update tupate kuweka comments naona umeweka ushabiki; kampeni ziliisha jana sasa tunapokea matokeo
 
Matokeo ya awali kibaha ccm 103 Dr 75 ya urasi ...kutuka kimara makuburi Dr Slaa ana ongoza kwa zaidi ya nusu idadi kamili nitaipost soon.
 
Jamani, it is still too close to call...................I am a bit disappointed because Mwanza was supposed to be a Chadema citadel............But at least no theft, so far.........................
 
Channel ten wanarusha matokea ya baadhi ya vituo vya Temeke,
 
Jamani, it is still too close to call...................I am a bit disappointed because Mwanza was supposed to be a Chadema citadel............But at least no theft, so far.........................

Ruta, Dont worry hope that is out of city (sumve), labda hiyo moja ya Nyamagana, lakini expect changes
 
Jamani, it is still too close to call...................I am a bit disappointed because Mwanza was supposed to be a Chadema citadel............But at least no theft, so far.........................
Mambo bado mkuu usikate tamaa hivyo!
 
naam leo nafikiri utakuwa mwisho wa redet na synovate kuwahadaa watanzania: mwanzo mzuri!
 
Jamani, it is still too close to call...................I am a bit disappointed because Mwanza was supposed to be a Chadema citadel............But at least no theft, so far.........................

Ruta, usiogope huo ndio unaitwa uchaguzi! lazima uelewe kuwa lazima Mkwere nae atapata zake lakini mwisho wa yote atachapwa tu hana ujanja safari hii...
 
Kwa hali ninayoiona hapa kwenye jimbo la Zamani la Waziri wa magereza (mbunge mstaafu Masha-lah), naona hata yeye mwenyewe keshakata tamaa.
Ktk jimbo hili la Mnyama wa Ghana Mash-lah hana chake. lakini watu wanadai kwa kuwa sisiemu ni mabingwa wa kuchakachua lolote laweza kutokea.
wana JF mnasemaje??
 
Chadema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Only looking numbers.... please post.
 
Rais wa Kenya - Kibaki angekujibu " What the hek?"

Unajaza tu space kwa kutunga thread ambayo haina habari/issue ya kujadili... sasa hapo umeandika nini kwa ugreat thinker wako??
 
Kwanza leta matokeo ya kituo chako ndio tujadili....
 
ISSUE ni uchakachuaji. kama hujaelewa topic, ask for assistance. Ni mara Ngapi upinzani wamekuwa wakishinda na wapinzani wa upinzani (ccm) wakachakachua matokeo??
So you have to think and give out your views kama ikitokea wakachakachua Nyamagana itakuaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…