Elections 2010 Matokeo ya awali toka Mkoa wa Mwanza

Chadema oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wana JF nimepata taarifa kutoka source za kuaminika huko Shinyanga kuna maeneo ya Majengo ya zamani kuwa wanaume wa maeneo hayo leo waliwawekea ngumu wake zao kwenda kupiga kura kwani kutokana na uzoefu wao wanawake wengi huwa wanaipigia CCM sasa leo wamepigwa stop hakuna kutoka, ni wanaume tu ndo wengi sana wao walikuwa kwenye mistari katika kuleta mabadiliko. Hali hii ilimfanya mwenyekiti wa mtaa ambaye ni mwanamke akisema wazi kuwa mwaka huu kwa Shinyanga mjini kazi ni ngumu. Tusubiri matokeo
 
vipi arusha jamin, pakajimmy vipi huko ar
 
Unaleta yale yaliyomo kichwani mwako.Kama huna data kamili huna haki ya kupost yale yanayotoka kichwani bali tafuta halafu post yaliyokuwa na facts,siyo ushabiki wako.
 
upadated matokeo - Jimbo la kawe kituo cha makongo
 
Heko wana jamiii mimi na wenzangu tulio nje ya Bongo mnatupa raha sana kwa kila mnachoandika na sasa mambo ya uchaguzi basi ah saafi. Kila la kheri nategemea mtafanya maamuzi bora.
 
Jamani, it is still too close to call...................I am a bit disappointed because Mwanza was supposed to be a Chadema citadel............But at least no theft, so far.........................

Hata mimi kwa kweli, ukiangalia sehemu kama nyamagana sikudhani kama CCm wangejamba kiasi hicho, labda igogo
 
Heko wana jamiii mimi na wenzangu tulio nje ya Bongo mnatupa raha sana kwa kila mnachoandika na sasa mambo ya uchaguzi basi ah saafi. Kila la kheri nategemea mtafanya maamuzi bora.

maamuzi bora yapi tena wakati tulishafanya
 

loooo! Munaanza kutayarisha mazingira ya kukataa kura!!!!
ngoja mulete fujo halafu mkongoto ufuatie!!!!
 
Jamani pressure inapanda na kushuka, kila mtu akichangia tunaangalia kwa kudhani kuwa ni matokeo. Sasa cha kushangaza majibizano yanazidi kuliko kuleta matokeo. Tuachane na watu wa CCM kwa sasa,Focus yetu iwe kwemye matokeo zaidi kwani wanatapatapa hawakutegemea kama hali itakuwa hivi ilivyo. Walidhani watu waliokuja kwenye mikutano hawapigi kura.
 
hapo kwenye red ninasmell kitu flan hiv, hilo gap under normal circumstance ni impossible. labda vijijini inaweza kutokea lakin siyo mjin.
 
TUpeni Update jamani acheni malumbano DR.wa ukweli Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
hivi haya matokeo yanayotangazwa hapa chanel ten vip?
 
Itafutwe namna nzuri zaidi ya ku-post haya matokeo. Namna nyingine itakuwa mafuriko ya mabandiko na mvurugano.
Mkuu umesema kweli, matokeo yakitumwa yawe na mpangilio wa Jimbo-Kata, kura za udiwani, ubunge na urais. Invisible unaweza kuanzisha thread maalum ya kutuma matokeo hayo huku ukinukuu source ya hapa JF.
 
hapo kwenye red ninasmell kitu flan hiv, hilo gap under normal circumstance ni impossible. labda vijijini inaweza kutokea lakin siyo mjin.
chadema ni 61 sio 6
 
Hata kujumlisha balaa,sina shaka atakuwa mwenye kufanya hisabu ni mgombea mwenza wa SLAA,Au kijana wa HKL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…