Elections 2010 Matokeo ya awali toka Mkoa wa Mwanza

Kata ya pamba - nyamagana, inaonekana chadema wameshinda lakini hawataki kutoa matokeo. sasa watu wanaandama kushinikiza watangaze matokeo.

waliokaribu watusaidie kuzuia uchakachuaji. muhimu sana wakuu
 
hapo kwenye red ninasmell kitu flan hiv, hilo gap under normal circumstance ni impossible. labda vijijini inaweza kutokea lakin siyo mjin.

ni 61;naona umeikata mwenyewe mkuu; pls check your corrections
 
...nec wanashangaza walesema watu 20 million walijiandikisha....lakini je ni kweli nusu ya watanzania wote wana miaka 18 kwenda juu....kwa turn out ilivyo ni wazi mahesabu ya NEC Kuna kitu yameficha ambacho CCM wanaweza wakakitumia kwenye majumuisho!!!
 

Nashukuru saana kwa taarifa. ubunge vipi?
 

hapo inaonyesha chadema kama watashinda tutegemee utawala wa kidikteta!!! Maana kuwazuia wanawake wasipige kura ni kuwanyima haki yao ya kikatiba!!!!!
 
hapo kwenye red ninasmell kitu flan hiv, hilo gap under normal circumstance ni impossible. labda vijijini inaweza kutokea lakin siyo mjin.

Wakazi wa Oysterbay ni wanuifakaji wakubwa wa mtandao wa CCM. Hayo matokeo hayashangazi.
 
Ubunge Maswa Kata ya kulimi Shibuda anaongoza,Wadau mie nipo Maswa kwa mujibu wa wa2 waliokuwa wanasimamia uchaguz ni kwamba Jimbo la Maswa Magharibi ambapo mgombea ujumbe ni John Shibuda bado Shibuda anaongoza:Malampaka Shibuda yupo juu,Kata ya Kulimi vijij vya Ilamata na Mwabayanda Chadema wanaongoza kwa upande wa ubunge so mpaka sasa inaaminika Chadema wapo juu coz wa2 wamekuwa wakisherekea sana hapa mjini.
 
Ubunge Maswa Kata ya kulimi Shibuda anaongoza,

Jamani wa JF muwe SERIOUS. Huwezi kutuambia anaongoza fullstop. Give details: Jimbo 1: Kituo A: CCM=XXX, CHADEMA=YYY, CUF=ZZZ, etc.
 
Ubunge Jimbo la sumve

Ngula
CUF 800+
CCM 20+

Malya
CUF 800+
CCM 30+

Sumve
CUF 700+
CCM 20+

Maligisu
CUF 600+
CCM 300+

Kadashi
CUF 500+
CCM 100+

bado kata chache kufungwa kwa mjadala; correction to precision will be made
 
Jamani wa JF muwe SERIOUS. Huwezi kutuambia anaongoza fullstop. Give details: Jimbo 1: Kituo A: CCM=XXX, CHADEMA=YYY, CUF=ZZZ, etc.
Tena tuwe na formati hii:
Rais mbunge diwani
CCM
Chadema
Cuf
etc
Hii itakuwa vema zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…