Nilikuwa na wasi wasi na hawa watu wa Songea hasa mjini kwa Nchimbi.
na huko si ndo kwa John Komba?
doh kweli siku ya kufa mbwa basi pua zote zinaziba
Hakika CCM wamekasirika sana kuona makao makuu yao kata zote zimechukuliwa na chadema ukiachilia kata za pembezoni.Bado matokeo ya Ubunge not confirmed but it seems Nchimbi kapita