Matokeo ya baridi inayoendelea Dar es Salaam na mikoani kwa wenye wachumba na ndoa huanza kujitokeza lini?

Matokeo ya baridi inayoendelea Dar es Salaam na mikoani kwa wenye wachumba na ndoa huanza kujitokeza lini?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Hii baridi linaloendelea mijini na vijijini linafanya mahusiano yawe ya karibu na ya moto sana miongoni mwa wachumba na wanandoa hasa mapumzikoni usikuwengine hadi , walichuniana lakini hali ya hewa inawakutanisha.

Bila shaka yoyote, yapo matokeo yanayotarajiwa na yasiyo tarajiwa yatakayo chochewa na hali hii ya hewa.

Unadhani matokeo yake ni nini, na lini hasa tunaweza kuanza kuyashuhudia yakijidhihirisha bayana kwa nje? maana pembe la ng'ombe halifichiki 🐒
 
Screenshot_20240718-110537.png
nawapata kwa uzuri kutokea hapa Makete
 
Hao watakuwa wameamua kusikiliza miili yao na sio akili.!!
Hii baridi ni nzuri unapata ka usingizi katamu kasikokuwa na bugudha..!
 
Mama Anajenga Nchi,,Dkt.Mh Raisi Samia Suluhu Hassan###🤜✔️✔️Tenaa###Tunashukuru Kwa Hali Ya Hewa.
 
Hao watakuwa wameamua kusikiliza miili yao na sio akili.!!
Hii baridi ni nzuri unapata ka usingizi katamu kasikokuwa na bugudha..!
kwahiyo baridi ya safari hii haitakua na athari zozote kwenye, productions na kuongeza populations na nguvu kazi ya nchi, right?🐒
 
Back
Top Bottom