kwahiyo baridi ya safari hii haitakua na athari zozote kwenye, productions na kuongeza populations na nguvu kazi ya nchi, right?πHao watakuwa wameamua kusikiliza miili yao na sio akili.!!
Hii baridi ni nzuri unapata ka usingizi katamu kasikokuwa na bugudha..!
π―kwahiyo kati ya October na November tutaaza kuona ambavyo havifichiki right?π