Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
unaweza piga kama private bila review class na materials muhimu SYLLABUS ya bodi ambayo inakupa muongozo wa nini cha kusoma..Tunashukuru mkuu,nataka nianze kufanya P1 this november ila sitaki kufanya review classes,any materials from any one au namna gani naweza kupata materials?natanguliza shuktani.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
tuko pamojaWa kukaya Maganga Mkweli ahsante sana,umenisaidia sana hapo kaka kazi kwangu,nataka niingie novemba hii.Shukrani kaka.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums