Matokeo ya chuo yanaweza kutolewa bila kupitishwa na bodi.

bulinge

Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
32
Reaction score
4
mm ni mwanafunzi ktk chuo kimoja wapo kilicho chini ya wizara ya maliasili na utalii na 23 -dec-2013 matokeo yalitolewa bila kupitishwa na bodi ya chuo.
sababu iliyopelekea matokeo hayo kutopitishwa na bodi ni bodi iliyokuwepo kumaliza muda wake na waziri wa maliasili na utalii alikuwa hajateua bodi ya chuo tokea mwezi wa sita bodi hiyo ilipomaliza muda wake.Je ?kisheria ni sahihi matokeo kutolewa bila kupitishwa na bodi?
Naomba msaada wenu.
 
Hayo nimawazo yako kaka siwezi kukuzuia kuandika kile unachokifikilia pengine uwezo wako wa kufikiria ndiyo umekomea hapo.mm sijafeli kama unavyofikiria.
 
Badala ya kujibu nilichoiliza ww unaleta kejeli!kama hujui kitu afadhali ukae kimya maana hakuna atakaye kuona mjinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…