BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023.
Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Dk Said Mohammed.
Kwa mujibu wa Dk Mohammed, wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mitihani yote au idadi kubwa ya masomo, watarudia tena mwaka 2024 huku wakitangaza kufuta matokeo ya wanafunzi 31 kwa kufanya udanganyifu.
Soma pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008
- Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2008
- Matokeo ya darasa la saba yametangazwa leo 1/12/2022
UFAULU WA KIMASOMO
Tazama hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=RdVq6BNybC0