Matokeo ya Darasa la 7 2023: Wanafunzi 31 wafutiwa Matokeo kwa kufanya Udanganyifu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023.

Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Dk Said Mohammed.

Kwa mujibu wa Dk Mohammed, wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mitihani yote au idadi kubwa ya masomo, watarudia tena mwaka 2024 huku wakitangaza kufuta matokeo ya wanafunzi 31 kwa kufanya udanganyifu.

Soma pia matokeo mengine kuanzia mwaka 2008






UFAULU WA KIMASOMO






Tazama hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=RdVq6BNybC0
 
Hatuna elimu TZ,ni upuuzi mtupu.
 
Hesabu ni Kilimo kizuri sana Cha uwezo wa uelewa na critical Thinking and analysis Kwa wanafunzi.

Sasa Kwa matokeo haya ni wazi tutakuwa na vilaza bendera fuata upepo wengi sana huko tuendako 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…