Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
jamani wazazi huu ni muda wa kuanza kuwakomalia watoto wetu wasome kwa bidii zote. si la saba, form two, four wala six, ila ili mradi tu yuko shule, mkomalie asome by any means!!!
bora uonekane mbaya na uchukiwe na mwanao for sometime, ila akikua atajua ulichokuwa ukimaanisha!! la sivyo, wengi wataishia kupata division five tu!!!!