Matokeo ya Darasa la saba

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
17,216
Reaction score
26,225
Wadau haya matokeo ya Darasa la saba yaliotangazwa mwezi uliopita yanapatikana website gani!
 
Kwa matokeo angalia necta.go.tz, nenda kwenye psle 2013.
Kuchaguliwa secondary aliyochaguliwa nenda kwenye notice board ya kata alikofanyia mtihani mtahiniwa unayemwangalizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…