sisi kwa sisi
Senior Member
- Feb 1, 2012
- 119
- 2
Mchezo wenyewe ni huu.
Shule ya Hamamni na Haile salas ,Bembela zipo pua na Mdomo.Ukisema yeye anakusikia.
Shule hizi mbili hazipugui wanafunzi 500 kila moja.
Hamamni asilimia 90 wamezuiwa matokeo kwa kisingio cha kuiba mtihani.
Haile hakuna aliezuliwa hata mmoja isipokuwa zimetawala F na D.
Swala la kujiuliza.
Hawa kutwa wapo pamoja, wanafanya discusion pamoja na cellular phone zinazofanana.
kama mtihani umevuja siamini waupate wa Hamamni tu.
Sawa na Jangombe na Kidoko chekundu, ni shule pua na mdomo. Moja with held imeongaza nyengine F na D zimeongeza hakuna With held.
ukiangalia hata watoto wanaoishi nyumba moja matokeo yao unaweza ukacheka, mmoja with held mmoja ana F .Kama wamelala nao mtihani ni vigumu haya kutokea.
SHule nyingi Zanzibar Zimeingia kyk hilo.
Hapa sio bure