yametoka ingia link hii hapa necta necta | view news
Asante sanaTujipongeze kwa ufaulu kuongezeka by 3% due to knowledge gain au ni kupanua magoli kwa hiyo kila mmoja anaweza kufunga as long as anashoot directly to the two goal posts!(Big Results Now outcome)
Tujipongeze kwa ufaulu kuongezeka by 3% due to knowledge gain au ni kupanua magoli kwa hiyo kila mmoja anaweza kufunga as long as anashoot directly to the two goal posts!(Big Results Now outcome)
yametoka ingia link hii hapa necta NECTA | View News
Jana mwanangu ananipigia, anasema mama nimepata GPA ya 5 nikasema ama kweli ni BRN hadi form two majibu yanakuwa in form of GPA
Mzima lakini Babu DC
Tujipongeze kwa ufaulu kuongezeka by 3% due to knowledge gain au ni kupanua magoli kwa hiyo kila mmoja anaweza kufunga as long as anashoot directly to the two goal posts!(Big Results Now outcome)
Kwani matokeo yameshatoka?