Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Kwel bwana kwa kadri miaka inavyozd songa mbele ndvyo matokeo ya form iv yanazd kuwa mabaya sana tena sana.
ukifeli wewe, wengine wamefaulu. Shule ya kata yetu, mwaka jana walikuwa na div iii=1, mwaka huu zimekuwa div iii=7. matokeo yamepanda au yameshuka?
nimekuwa nikifuatilia matokeo ya matokeo ya shule nyingi lakini cha kushangaza siku matokeo yanatangazwa katibu mkuu balaza la mitihani alisema kiwango cha kufaulu kimeongezeka ukilinganisha na mwaka jana na mwaka juzi.........hivi tuweni wa kweli mimi sijaona kiwango chochote kimeongezeka mimi naona ni matokeo ni mabaya kuliko miaka yote........