matokeo ya form 4 kutangazwa leo saa 10 jioni na naibu wazili wizarani

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
jamani matokeo yatakuwa hewani leo kuanzia saa moja ........ila saa kumi waandishi wa habali watakuwa pale kumsikliliza naibu wazili
ila kwa kifupi ni kwamba......nimesikia kiwango kimeongezeka asilimia tatu tofauti na mwaka na nimesikia watahininiwa 2345
wamefutiwa matokeo......shule tisa hazina matokeo..........source nimepewa na one of my friends wanaofanya kazi baraza......alinipigia simu
 
naona unayasubiria kwa hamu angalia usije ukawa miongoni mwa 2345 unaowasema
 
Hii mizaha mizaha kwenye ishu sirias. Watu tuko tension tunasubiri matokeo ya watoto wetu ujue
 
Matokea ya 4m 4 huwa yanatangazwa na katibu mkuu wa baraza la mitihani tu.over
 
Matokea ya 4m 4 huwa yanatangazwa na katibu mkuu wa baraza la mitihani tu.over

Naona dogo anaota tokea lini naibu waziri au waziri akatangaza matokeo?kila mwaka matokeo ya f4 na f6 yanatanganzwa na Ndalichako(Katibu Mkuu wa NECTA).
 
Ukikosa thread ya maana bora ukakeep your mouth shut up!!!!!!!!!!!!
 
Dah jamani mbona wa2 waongo sana? Matokeo hata ch10 hawajatangaza.
 
mbona jamani mnakuwa waongo namna hyo?..ishu hii niyamaana sana tena sana.
 
Huyo jamaa hajawai soma hebu angalia hata huyo waziri alivyoandika
Wazili badala ya waziri
Kingine waziri wa elimu hatangazi matokeo huwa na Ndaluchako
 
Nimepita hapa kuangalia madogo wanavyochachawa. Taratibu watoto mtapata vidonda vya tumbo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…