matokeo ya form 4 kutangazwa leo saa 10 jioni na naibu wazili wizarani

Ok, unafurahia ukiona watu wakitaabika,leo ....
kesho kw...
 
Mbona sasa ni saa tatu usiku na bado hayajatangazwa au wamesahau kaka...ila tunashukuru kwa taarifa ingawa hakuna lolote mpaka sasa.
 
wadau
tuwe na tuishi kama ma GT sioni umuhimu wa kila mmoja wetu kubandika hisia na ndoto zake hapa, kwani lazima wote to post nuz hapa?Ona sasa usumbuf unaosababisha watu saa 4 na usiku hamna tangazo wala nn.
 
ujnga huu bwana kuumizana roho 2 hapa,achen hzo bwana.
 
Jamani so vizuri kuwazingua wadogo wetu kwani sisi tunatakiwa tuwe mfano bora kwa wote kama kweli magreat thinkers.
 

Mods ondoa hii kitu!plz
 
Iwe kweli bac jamani.....tumechoka kuyasubiri jamaniiii
 
Heading yako umeandika saa 10, kwenye comment umeandika saa 1. Unapotunga uongo jaribu kuwa na kumbukumbu.
 
du UKIWA MUONGO SHARTI UWE NA KUMBUKUMBU.muda uloandika unapishana
 
Jamani tusidanganyane matikeo ya form four hayatangazwi ni kama kifo kinapokuja
 
Hakika wanafunzi wanahitaji matokeo yao sasa,wameishi kwa hofu kwa mda mrefu sana,ondoeni hofu zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…