Matokeo ya form 4

Matokeo ya form 4

Omulangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
1,036
Reaction score
267
Jamani kama kuna mwenye taarifa juu ya matokeo ya f4 aziwekwe jamvini maana tumesubiri hadi tunakuwa impatient. kuna tatizo lolote huko jikoni jamani au ukata umefika huko nako?
 
mkulu kaenda davos ngoja kwanza arudi maana kila kitu hovyo sasa hivi
 
kuwa na subira mkuu,bado yanapikwa hasa yale ya shule za kata ionekane zimefanya vzuri
 
Mwaka huu mmefutiwa wote matokeo.
 
Soma thead yenye kichwa 'matokeo ya form four' yamechakachuliwa.
 
Subiri wafanye standardization kwanza..wakitoa km yalivyo ni kilio kwa watz kwani shule zimeongezeka maradufu!..next week yatakuwa hewan vuta subira kidogo!..
 
Matokeo........ovyo mwaka huu d--imeanzia 10,c--30,b--50,a--70......wamestandadize na nimesikia leo mchana saa nane yatakuwa hewani
 
Matokeo ya nin bora mwanze kusoma pre frm five guyz .kwanza kwen kusoma lazma au opt jaman ?
 
Hilo kweli nnawasiwasi namwalmu wako alie kuruhusu kuingia darasa la kwanza
 
Serikali ilikuwa haina hela ya kuwalipa wasahhshaj hvyo kucheleweshwa kutoa but,ucjal ndo wanamalzia kusahsha.
 
shule zipi zilizoongoza wakuu japo kumi bora
 
Back
Top Bottom