Jamani kama kuna mwenye taarifa juu ya matokeo ya f4 aziwekwe jamvini maana tumesubiri hadi tunakuwa impatient. kuna tatizo lolote huko jikoni jamani au ukata umefika huko nako?
Subiri wafanye standardization kwanza..wakitoa km yalivyo ni kilio kwa watz kwani shule zimeongezeka maradufu!..next week yatakuwa hewan vuta subira kidogo!..