Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Yanaonyesha kuwa kiwango cha ufaulu kimeshuka kwa asilimia 10.13. Wanafunzi wengi wamefanya vizuri kwenye Kiswahili (aslimia 81.59) na wengi wamefeli basic mathematics (waliofaulu somo hili ni asilimia 24.33 tu).
Nyingi ay shule zinazoongoza kama kawaida ni za binafsi huku senminari zikionekana kufanya vema zaidi.
shule kumi bora zenye watahiniwa 30 au zaidi
1. St Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Girls (Pwani)
3. St Joseph-Kilocha Seminary (Iringa)
4. Uru Seminary (Kilimanjaro)
5. Dungunyi Seminary (Singida)
6. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
7. St Mary Goreti (Kilimanjaro)
8. Feza Boys (dar es Salaam)
9. Don Bosco Seminary (Iringa)
Shule 10 bora zenye watahiniwa chini ya 35
1. Scolastica (Kilimanjaro)
2. Feza Girls (Dar)
3. Brookebond (Iringa)
4. Bethelsabas Girls (Iringa)
5. Maua Seminary (Kilimanjaro)
6. Rubya Seminary (Kagera)
7. St Marys Junior Seminary (Pwani)
8. Katoke Seminary (Kagera)
9. Kilomeni (Kilimanjaro)
10. St Carolus (Singida)
Shule 10 za mwisho zenye watahiniwa 35 au zaidi
1. Selembala (Morogoro)
2. Kilindi (Pemba)
3. Ngwachani (Pemba)
4. Michiga (Mtwara)
5. Ummussalama (Pwani)
6. Chunyu (Dodoma)
7 Busi (Dodoma)
8. Uondwe (Pemba)
9. Nala (Dodoma)
10. Maawal (Tanga)
Shule 10 za mwisho zenye watahinwia chini ya 35
1. Juhudi Academy (Zanzibar)
2. Mima (Dodoma)
3. Selenge (Singida)
4. Kijini (Zanzibar)
5. Kwamkoro (tanga)
6. kwala (Pwani)
7. Mtende (Zanzibar)
8. Ng'hoboko (Shinyanga)
9. Mbuzini (Pemba)
10. Mwadui Technical (Shinyanga)
Matokeo zaidi yanapatikana kwenye tovuti ya nect (The National Examinations Council of Tanzania)
au MATOKEO KIDATO CHA NNE 2008 (Hapahapa JF)https://www.jamiiforums.com/matokeo2008.htm
Nyingi ay shule zinazoongoza kama kawaida ni za binafsi huku senminari zikionekana kufanya vema zaidi.
shule kumi bora zenye watahiniwa 30 au zaidi
1. St Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Girls (Pwani)
3. St Joseph-Kilocha Seminary (Iringa)
4. Uru Seminary (Kilimanjaro)
5. Dungunyi Seminary (Singida)
6. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
7. St Mary Goreti (Kilimanjaro)
8. Feza Boys (dar es Salaam)
9. Don Bosco Seminary (Iringa)
Shule 10 bora zenye watahiniwa chini ya 35
1. Scolastica (Kilimanjaro)
2. Feza Girls (Dar)
3. Brookebond (Iringa)
4. Bethelsabas Girls (Iringa)
5. Maua Seminary (Kilimanjaro)
6. Rubya Seminary (Kagera)
7. St Marys Junior Seminary (Pwani)
8. Katoke Seminary (Kagera)
9. Kilomeni (Kilimanjaro)
10. St Carolus (Singida)
Shule 10 za mwisho zenye watahiniwa 35 au zaidi
1. Selembala (Morogoro)
2. Kilindi (Pemba)
3. Ngwachani (Pemba)
4. Michiga (Mtwara)
5. Ummussalama (Pwani)
6. Chunyu (Dodoma)
7 Busi (Dodoma)
8. Uondwe (Pemba)
9. Nala (Dodoma)
10. Maawal (Tanga)
Shule 10 za mwisho zenye watahinwia chini ya 35
1. Juhudi Academy (Zanzibar)
2. Mima (Dodoma)
3. Selenge (Singida)
4. Kijini (Zanzibar)
5. Kwamkoro (tanga)
6. kwala (Pwani)
7. Mtende (Zanzibar)
8. Ng'hoboko (Shinyanga)
9. Mbuzini (Pemba)
10. Mwadui Technical (Shinyanga)
- Soma Pia:
- Matokeo kidato cha nne 2009
- Matokeo ya kidato cha nne hewani - 2010
- Matokeo ya kidato cha nne 2011
- Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)
- Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa
- Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza
- Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015
- Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!
- NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%
- Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza
- Pata uchambuzi wa mtokeo ya Form Four ya 2019
- NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020
- Nimeshangazwa na Matokeo ya Kidato cha Nne 2021
- NECTA yatangaza Matokeo Kidato cha Nne 2022
- Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka
Matokeo zaidi yanapatikana kwenye tovuti ya nect (The National Examinations Council of Tanzania)
au MATOKEO KIDATO CHA NNE 2008 (Hapahapa JF)https://www.jamiiforums.com/matokeo2008.htm