ahsante kwa mchango wakoIvi kumbe bado hayajatoka????????? ata me sifahamu
hii ndio elmu ya tizedi. mlioko wizarani mtujuze
ni udhaifu mkubwa sana wa waziri husika na wayendaji wake na mara nyingi matokeo ya form two huchelewa hadi sahzi wanafunzi hawajuwi hatima yao na shule zinafungua. tatizo tz dhana ya uwajibikaji ni zero.
hata kam yakitoka ni lazim aende angaalie shuleni
pia nataka nijue yanatoka lini. nina mdogo wangu ananisumbua sana
kwani wao form two waliambiwa wanafungua lini shule?me nadhani waliambiwa tarehe kumi natisa ndo wanafungua shule...matokeo yao yatakuwa tayari
Kwa utaratibu ni hivi, mwanafunzi wa kidato cha pili anatakiwa kwenda shule mara tu inapofunguliwa bila ya kujali matokeo yametoka au bado kwasababu yeye akifaulu anaendelea na akifeli ni lazima (sio ombi) kurudia darasa, kama livyo elezwa na raisi mwezi wa 9/2014 kuwa yeyote alieacha shule mara baada ya kufeli kidato cha 2 sharti arudi shule kama sheria na taratibu zinavyoeleza, hivyo mdogo wako anapaswa kwenda shule bila kusubir matokeo( zoezi la kisubir matokeo linabak kwa kidto cha 4 na 6). Matokeo cjui yanatoka lini bro.
Hatuishi kulalamika. Matokeo K.2 miaka yote hutoka Februari. Na matokeo haya hayazuii mwanafunzi kuendelea na K.3 kwa sasa. Wanafunzi wote waliofanya mitihani ya K.2 huendelea na masomo hadi matokeo yakitoka ambapo wanaotakiwa kurudia hubainishwa. Hivyo, subra yavuta heri, yatatoka tu.