Matokeo ya form two walomaliza mwaka jana mwezi December

Jamani mimi nimeangalia ila sijaelewa...kiuna "PASS", "MERIT", "FAIL" "CREDIT" naombeni mnifafanulie apo.
 
Jamani mimi nimeangalia ila sijaelewa...kiuna "PASS", "MERIT", "FAIL" "CREDIT" naombeni mnifafanulie apo.

Kwa ufupi waliondikiwa fail, wanarudia...matokeo yapo kwa mfumo wa GPA na hizo gpa zinatofautiana kuanzia ya chini kabisa hadi ufaulu wa juu kabisa yaani; PASS - CREDIT - MERIT - DISTINCTION ambao ni ufaulu wa juu kabisa...kwahiyo umepata ipi hapo kijana?
 
Jaman wakubwa nawashukuru sana kwa kujali ombi langu nawashukuru mno kwa wale waliojali na kuniwekea link kabisa japo kuna waliobeza lakn ni kawaida kwani ndio binadam tulivyo na ni sehem ya Jamii ivyo twapaswa kuvumiliana
yote kwa yote nawashukuru sana jaman
Meshack G
kolongotitu
casbias
Kobaba

na wengineo woote nawashukuru sana jaman na mbarikiwe sana
nawapenda wote wanajamii forum
JAMII FORUM IZIDI KUDUMU!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kigogo Secondary School:


Pamoja na hekaheka za jiji la Dar (Kigogo), huyo mtoto hapo juu ni "role model" kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…