matokeo ya form two yamekwama wapi?

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
824
Reaction score
161
samahani wakuu mwenyekujua kinachoendelea anijuze au ndiyo Big result now ,shule ndiyo hizo zinfunguliwa matokeo ya kidato cha pili hayajatoka ,mtihani ulifanyika mwezi tisa mwaka jana ,hii ni aibu nyingine ya wizara husika ,au wanasubili baraza la mawaziri jipya
 
Bado wanachakachua si umeona ya la saba eti asilimia 90 wameshinda wakati walimu hawafundishi wanalia na njaa,sbri watangaze utasikia ufaulu upo juu ili big result isifike!!!
 
Bado hawajasahihisha! ila usihofu wote mna B+
 
Wala usihofu kwa sababu serikali yetu inawapenda sana wanafunzi watafaulu wote watakuwa wanaangalia kama kuna uwezekano wa waliopata wastani 1 waingie kidato cha tatu
 
kumbe walifanya mwezi wa tisa october!
 
Maskini bora yatoke watoto wa wetu warudi darasani.
 
matokeo ya kidato cha pili yanatoka mwisho mwezi huu....na ufaulu ni mzuri sana...mwaka huu kuliko miaka yotr
BIG result NOW......
 
Subiri,bado tunayatengeneza,ili yafae machoni pa watu
 
[h=2]Biashara ya Uchawi Tanzania[/h]
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza

Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida

Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera

Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…