Habari zenu wanaJF. Ninahitaji msaada wa kupata matokeo ya Form 2 kupitia kwenye mtandao. je kuna yeyote anafahamu jinsi ya kuyapata? Naona NECTA wala Wizara hawajaweka mtandaoni.
Maranyingi yanayowekwa mtandaoni ni ya form 4 &6 ila form 2 na la 7 huwa hayawekwi njia pekee ni kwamba mpigie cm mkuu wa shule yako atakuwa tayar ameshayapata atakujulisha.