Matokeo ya Hassan Dalali vip??

Matokeo ya Hassan Dalali vip??

Chanazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2010
Posts
212
Reaction score
64
Nlisikia Mwenyekiti wa zamani wa Mnyama Hassan Dalali amerudi shule na alikua anafanya mitihani ya Form four... Vp katusua tumpongeze mzee wetu au Kawambwa kamkwamisha?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kama matokeo yenyewe ndo mabaya hivyo unategemea huyu mzee atatoka na nini?
 
ha ha ha mwacheni mwenyekiti wangu wa zamani huenda ikawa ka pasua ha ha ha
 
hah ha nakumbuka alikuwa anasoma pale zuhra mwenge, cjui matokeo yake.
 
Kwa private candidates, haitakiwi ulize matokeo ndugu yanguu...anza kulia tuuuuuuu
 
Tukirengwa risasi tunalalama, kumbe mengine tunajitakia

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Tunasuburi malalamiko ya mabaraza ya maulamaa kuhusu somo la islamic knowledge kwa mmeonewa tena kama kawaida yenu.
 
hah ha nakumbuka alikuwa anasoma pale zuhra mwenge, cjui matokeo yake.

[h=2][/h] [h=1][h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS

P1503 ZUHRA ISLAMIC SEM CENTRE

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 70 FLD = 75
[/h]

[/h]
ama

[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[/h] [h=1] CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
[/h] [h=3]S1503 ZUHRA ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 23 FLD = 43 [/h]
 
Simba walivyo na kiherehele wangeandaa bonanza la kumpongeza kurudi kushika wadhifa wa Rage ukiona kimyaa jua kataga.
CC. Kaizer Crashwise , Asprin
 
Last edited by a moderator:
[h=2][/h] [h=1][h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS

P1503 ZUHRA ISLAMIC SEM CENTRE

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 70 FLD = 75
[/h]

[/h]
ama

[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[/h] [h=1] CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
[/h] [h=3]S1503 ZUHRA ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 23 FLD = 43 [/h]

Alikuwa PC so juu hapo panahucka.
 
Back
Top Bottom