Mwanzoni ilikuwa dhahiri miongoni mwa mashabiki wa Simba kutomkubali kocha wao. Kufuatilia timu kutocheza vizuri na kuruhusu goals ktk mechi nyingi, wengi walipenda kocha atimuliwe. Ghafla siasa zikabadilika baada ya Yanga kupoteza kwa Ihefu. Kelele zote za 'Robertinho atimuliwe' zikaisha mtaani japo Simba iliendelea kutocheza vizuri na kuruhusu magori ktk mechi zake.
Pengine tutatejea kwenye kelele zetu sasa. Mgeni rasmi ni nani vile?
Pengine tutatejea kwenye kelele zetu sasa. Mgeni rasmi ni nani vile?