Matokeo ya Ihefu dhidi ya Yanga yalibadilisha upepo wa 'Robertinho atimuliwe'

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Mwanzoni ilikuwa dhahiri miongoni mwa mashabiki wa Simba kutomkubali kocha wao. Kufuatilia timu kutocheza vizuri na kuruhusu goals ktk mechi nyingi, wengi walipenda kocha atimuliwe. Ghafla siasa zikabadilika baada ya Yanga kupoteza kwa Ihefu. Kelele zote za 'Robertinho atimuliwe' zikaisha mtaani japo Simba iliendelea kutocheza vizuri na kuruhusu magori ktk mechi zake.

Pengine tutatejea kwenye kelele zetu sasa. Mgeni rasmi ni nani vile?
 
Na huyo aliyegawa cheo cha Mgeni rasmi amekimbia mafichoni 🏃‍♂️
 
Simba imejaza wazee ,hakuna Wachez pale ,usimlaumu kocha,simba imechoka sana
Hujielewi wewe Simba hatuna kocha, kila mara tunaongea ili suala,mpira ni mchezo wa wazi kocha wa Simba icho kibabu cha kibrazili ni kijinga tu hakina mbinu wala mipango yeyote.
 
Hujielewi wewe Simba hatuna kocha, kila mara tunaongea ili suala,mpira ni mchezo wa wazi kocha wa Simba icho kibabu cha kibrazili ni kijinga tu hakina mbinu wala mipango yeyote.
Eti kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…