Wakuu kuna mwenye taarifa za interview ya utumishi ambayo tulifanyia uhasibu kurasini na wengine walifanya ifm tangu mwezi wa 3 kama sikosei.
Mimi nilifanya ya nafasi ya systems administrator, lakini mpaka leo naona kimya.
Kuna mwenye taarifa, pia walifanyiwa interview registration officers zaidi ya 300 je waliitwa??
Hayo ya NIDA (NATIONAL IDENTIFICATION) , YALISHATOKA TANGU MAY 2011 NB TAFUTA GAZETI LA UHURU/MWANANCHI/DAILY NEWS LA TARAHE 18- 20 2011 ! HUU MSHAHAT
RA WA TATU WATU WANAVUTA BRO
Hayo ya NIDA (NATIONAL IDENTIFICATION) , YALISHATOKA TANGU MAY 2011 NB TAFUTA GAZETI LA UHURU/MWANANCHI/DAILY NEWS LA TARAHE 18- 20 2011 ! HUU MSHAHAT
RA WA TATU WATU WANAVUTA BRO