Matokeo ya interview iliyo fanyika Tar 29-april-2011 IFM (witten exam) (round ya mtoano) yalitoka tar 30 aprlil 2011 jumatano kwenye Dar leo na kwenye website ya utumishi ambayo yaliwaelekeza watahiniwa wali bahatika kuingia round ya pili kwenda kwenye oral interview TIA-Kurasini tar 31aprlil 2011 na baada ya interview walisema majibu watatoa baada ya mwezi 1 watatujulisha kama mtu umepata au umekosa, hivyo basi Chloe kama ulikuepo tar 31 April 2011 vuta subira kujulishwa kama umepata au umekosa na kuna taarifa zimelushwa humu JF zina sema hivi nanukuu "Malaysian firm picked to produce national ID" kwa hio inaweza kuwa mwanzo mzuri let us keep waiting
regards