Chloe O'brian
Member
- Dec 22, 2010
- 41
- 10
JAMANI KUNA YOYOTE MWENYE TAARIFA KUHUSIANA NA MATOKEO YA INTERVIEW ILIYOFANYIKA TAR 29-APRIL-2011 KURASINI -TIA, ZILE NAFASI ZILIZOTANGAZWA NA UTUMISHI WA UMMA ZIKIWEMO ZA NATIONAL ID's AUTHORITY?
NITAFURAHI NIKIPATA TAARIFA.
JAMANI KUNA YOYOTE MWENYE TAARIFA KUHUSIANA NA MATOKEO YA INTERVIEW ILIYOFANYIKA TAR 29-APRIL-2011 KURASINI -TIA, ZILE NAFASI ZILIZOTANGAZWA NA UTUMISHI WA UMMA ZIKIWEMO ZA NATIONAL ID's AUTHORITY?
NITAFURAHI NIKIPATA TAARIFA.
Matokeo ya interview iliyo fanyika Tar 29-april-2011 IFM (witten exam) (round ya mtoano) yalitoka tar 30 aprlil 2011 jumatano kwenye Dar leo na kwenye website ya utumishi ambayo yaliwaelekeza watahiniwa wali bahatika kuingia round ya pili kwenda kwenye oral interview TIA-Kurasini tar 31aprlil 2011 na baada ya interview walisema majibu watatoa baada ya mwezi 1 watatujulisha kama mtu umepata au umekosa, hivyo basi Chloe kama ulikuepo tar 31 April 2011 vuta subira kujulishwa kama umepata au umekosa na kuna taarifa zimelushwa humu JF zina sema hivi nanukuu "Malaysian firm picked to produce national ID" kwa hio inaweza kuwa mwanzo mzuri let us keep waiting
regards
leo ni tar 29 aprl au?
Inamaana hyo interview imefanyika leo na matokeo leo leo?
nitumie picha yako kamili, umri na jinsia then nitakupm kukupa taarifa na melekezo zaidi
Mbona leo ni 29 April ina na mwezi unaishia tarehe 30 hiyo 31 April imetoka wapi?hivyo basi Chloe kama ulikuepo tar 31 April 2011 vuta subira kujulishwa kama umepata au umekosa
Leo ni tar 29 aprl au?
Inamaana hyo interview imefanyika leo na matokeo leo leo?
apology nilizani tuko may du cku haziendi,ni march tafadhaliMbona baadhi ya tarehe zinazotajwa hazijafika? Na hiyo 29 Aprili ndo leo
Great thinkers umakini unaporomoka kwa kasi sana!!
Sina taarifa,lakini hapo kwenye red kuna mushkheri kdg.
umakini upo kilichotekea ni kwamba mleta mada alianza kwa kusema imefanyika april,wazo halikuepo kwenye mwez kabisa i thought tuko may,naomba toa april weka march ila contents nyingine zibaki kama zilivyo kwa sababu nina uhakika nazo
JAMANI KUNA YOYOTE MWENYE TAARIFA KUHUSIANA NA MATOKEO YA INTERVIEW ILIYOFANYIKA TAR 28 na 29-MARCH-2011 KURASINI -TIA, ZILE NAFASI ZILIZOTANGAZWA NA UTUMISHI WA UMMA ZIKIWEMO ZA NATIONAL ID's AUTHORITY?
NITAFURAHI NIKIPATA TAARIFA.