Jamani, baada ya kasi mpya, nguvu mpya kushindwa, sasa waja eti na kasi zaidi, 'maisha bora' yaliposhindikana, wakaona walete 'kilimo kwanza'. sentesi hizi sizielewi kabisa, bora waseme ufisadi zaidi.
Kwa nini unauliza jibu?
TBC kinatumika kama kifaa cha propaganda cha sisi m na wapiga kura wengi wanalalamikia hili.
Hata hivyo bado sisi m itashindwa kwa kishindo mwaka huu na TBC itakuwachombo huru cha habari kwa mara ya kwanza katika historia yake.