matokeo ya kidato cha 4 kutangazwa rasmi jumatano.

Joined
Apr 17, 2013
Posts
38
Reaction score
2
matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 yatatangazwa rasmi jumatano wiki hii..kuweni tayari kidato cha nne kupata results zenu..


chanzo cha kuaminika...
 
jaman matokeo its within this week mjipange vijana.siku yenyewe ni siri ya wakuu, chanzo itv.
 
Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe, acheni wahusika wafanye yao jamani! You have to be patient guys...!
 
Hahahahahaha.Nasikia wanatoa na BOOM kwa kila mhitimu wa kidato cha nne ili aweze kuendelea na hatua nyingine.Chanzo Chumbani kwangu
 
Acheni izo, za kuwatia presha wenzenu matokeo yatatoka 2 kwan tatzo liko wap?
 
huyo mpuuz nan anawageuza watanzania kuwa mbulula yaan kila ck ya tukio kukamilishwa inapofika mambo yanabadilika , kama hawataki kuyatoa waache..... au kama vp huyo WAZIR kama anaogopa kuyatangaza bas,.. amtangazie MKEWE........ maana najua ailvyo mbeya tutayapata haraka sana ............
pumbavu kbsa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…