Matokeo ya kidato cha nne 2011 ya natoka lini?

Mpaka mgomo wa madokta uishe ndo yatatoka.
 
Naona watoto mmeamua kutukanana sasa eeh?Mkachagua kuja jf kuonesha umahiri wa kutukana?Ngoja matokeo yaje mna div ziro tuone umahiri wenu wa kufeli!!Na ww leonard uko chuo udisko ndo ujue!
 
Naic itakua ivyo imepotea mana du!!! Januari 2 necta mmezidi mwaka uu!!!
 
sasa wajomba naomba tujulishane kuhusu rizalt la 4m4 2011 maana nahisi my psaikologia haiko sawa some how :help: :help: :help:
 
Dah! waungwana, nasikia matokeo ya kidato cha nne, 80% ni failure na only 20% ndo wailopass kwa kiwango cha baraza la mitihani tanzania. Je ni kweli?
 
Jumatatu reslts may be out! That is my views! If you were with God before and after examination sure u 'll pass the exam.Go on preparing with PER-V.
 
Tatizo ni nini watu wanakua na kigugumizi. Tangazeni matokeo ya kidato cha nne 2011 ili watu wajue cha kufanya.maana wanafunzi wenyewe sasa hivi wanakosa amani.
 
Necta, watoeni watanzania wasiwasi ili waangalie mambo mengine ya kufanya. Wanamajukumu mengi mazito na siyo kusubiria matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2011 tu.
 
Wazazi tunaomba yachelewe ili tudundulize visenti vya kuwapeleka form 5.
 
HABARI ZISIZO NA SHAKA, MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2011 YAMETOLEWA JANA.
UKITAKA KUYAONA GOOGLE kingkif blog.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…