Wakuu,
NECTA wametangaza matokeo tayari.
Kuyapata matokeo, tembelea:
MATOKEO
YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums)
QT
Results 2012 - JamiiForums
Mkuu ufaulu wa mwanafunzi ni mchakato unahusisha mwanafunzi, mzazi/mlezi ,mwalimu(serikali kwa shule za umma) kila mtu akichukua nafasi yake mambo yatakaa vizuri, japokuwa hata kama hao wawili wasipotekeleza wajibu wao kwa ufanisi unaotakiwa yaani mwalimu na serikali bado kupata division ziro ni kazi sana maana hakuna division ngumu kuipata kama ziro hasa mwanafunzi na mlezi /mzazi wakutekeleza wajibu waoHiyo mipango ya kutatua hilo tatizo inahusisha na kuwasaidia hao waliofeli, maana hio idadi yao mpaka inatia aibu, duh! Zaidi ya nusu wamefeli, MMES na MMEM mko wapi????
Hiyo mipango ya kutatua hilo tatizo inahusisha na kuwasaidia hao waliofeli, maana hio idadi yao mpaka inatia aibu, duh! Zaidi ya nusu wamefeli, MMES na MMEM mko wapi????
Wakuu,
NECTA wametangaza matokeo tayari.
Kuyapata matokeo, tembelea:
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums)
QT Results 2012 - JamiiForums
Mkuu thanks kwa hizi link but kuna kitu kinanitayiza hapa as Bwana mdogo kanipa namba ambayo naona kafaulu tofauti na uwezo wake je kuna maujanja nayoweza kutumia ku-link namba na jina?
[TABLE="width: 70%"]Naomba matokeo
s.1098/0149 na s1098/0163