matokeo ya kidato cha nne 2012

matokeo ya kidato cha nne 2012

Joined
Jun 23, 2010
Posts
14
Reaction score
0
hi, members
ndugu zangu wanachi wa Tanzania,naomba tujadili hili swala je,tuilaumu serikali ya jamhuri ya Tanzania,shule zenyewe ,walimu wa hizo shule au wanafunzi wenyewe kwani haijawahi tokea wanao pata zero mtihani wa taifa ni zaidi ya nusu ya wanafunzi wote.Naomba sana hilo kwani tutaisaidia serikali hata kwa mawazo ili mamabo yawe poa.
nashukuru nasubiri maoni yenu.
 
Kwanza kabisa wazazi kwa malezi mabaya kwa watoto wao! Utakuta baba na mama wako bize kutafuta hela hata muda wa kuangalia tabia na mwenendo wa wtt haupo, pia utandawazi! Wish kungekuwepo na sheria ya kuzuia vijana wenye umri chini ya 18yrz kujihusisha na hizi mambo zote za utandawazi kama vile FB, kumiliki simu.n.k. Elimu ya dini kuanzia darasa la kwanza hadi vyuoni kuwa lazima. Serikali ibadiri mfumo wa elimu jamani... Mtt anasoma kila kitu kwa kiswahili halafu anaandika kingereza?! Kweli? Mtt anaanza kujifunza kingereza darasa la 4 tena kama somo? Kwa nn from there masomo yote yasifundishwe kingereza? Serikali ipige marufuku kuonyeshwa wala kutengenezwa kwa haya mapicha yasiyo na maadiri! Yaani mm naangaliaga hizi nyimbo za bongo flavour hadi najificha kwa aibu! Vijana wanavaa uchi uchi! Wanaigiza matusi! Kucheza ndo staki hata kuelezea maana sina neno zuri kuelezea! Utasema hawana wazazi? Serikali iweke sheria na kutoa adhabu kali dhidi ya walimu na watu wengine wanaojihusisha kimapenzi na wanafunzi......
 
Back
Top Bottom