hi, members
ndugu zangu wanachi wa Tanzania,naomba tujadili hili swala je,tuilaumu serikali ya jamhuri ya Tanzania,shule zenyewe ,walimu wa hizo shule au wanafunzi wenyewe kwani haijawahi tokea wanao pata zero mtihani wa taifa ni zaidi ya nusu ya wanafunzi wote.Naomba sana hilo kwani tutaisaidia serikali hata kwa mawazo ili mamabo yawe poa.
nashukuru nasubiri maoni yenu.