Matokeo ya kidato cha nne 2013.

Joined
Nov 13, 2011
Posts
36
Reaction score
10
Naomba kufahamishwa kama matokeo ya kidato cha nne mwaka 2013 yametoka?maana nilipiwa habari yangetoka tarehe 13 mwezi huu.
 
Kama 13/02 imepita na leo ni 15/02 endelea kusubiri
 
Una haraka ya nini wakati hakuna kufeli? Subiri hiyo div 5 ya huyo ndugu yako akaendeshe bodaboda na kama ni binti akatwe housegirl!!!!Watanzania siasa zinatuua, KIDUMU CHASISIMAJANGIRI
 
Mkuu vuta subra yatatoka ilikua haina haya ya kuleta uzi mpya kuhusu matokea ya kidato cha nne 2013
 
Haya matokeo yanasubiriwa kwa hamu kubwa, watu wanataka kuona "Big Results Now" imezaa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…