Dr Ndalichako, uko wapi? Ulipokuwa kwenye usukani hakuna matokeo kuchelewa namna hii. Ebu majibu yatoke haraka watoto wanetu wasije wakapata uchizi kwa msongo wa mawazo ya kusuibiri matokeo kama dalili zilivyoanza kujionyesha kwenye postings hapa JF.