Matokeo ya kidato cha nne 2013.

Naomben wadau mnifahamishe eti mitihan minne ya BRN iliyofanyika kabla ya mtihani wa necta ilikuwa na lengo gan na je ilifanyika Tanzania nzma au baadhi ya mikoa na madaraja yanayo2mika ni madaraja gan naomba mnifafanulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…