Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

Unaweza kututhibitishia kuwa wanafunzi wote waliokuwa wanasoma hizo shule zilizoongoza ni wakristo wakatoliki?....


Sent using Vertu Signature Cobra
 
Jirani zangu wa zamani Masjid qubah naona wameshika mkia. Sasa kama ww mwalimu u afundisha shule hiyo si bora uache kazi tu
 
Da nimekumbuka mbali kweli,Mwaka wetu mwenzetu mmoja alipata A masomo sita.Baraza wakamwita Dar wakamtungia paper lake mwenyewe na ulinzi juu,akapata A masomo saba...akaongeza A nyingine.
Umenikumbusha pia, mwaka mmoja jitegemee, somo la commerce tulilipasua kama lote mwalimu akamchukua aliyepata 95% ili arudie mtihani jamaa akapiga 98% hatari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…