Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefeli kweli kweli wenda kuliko mwaka jana, tembelea website ya necta au wizara.
Wakati rais wetu anachukua uongozi hawa watoto walikuwa class five. Ni reflection ya utawala mbaya, uongozi mbaya wizarani sera duni na hafifu za chama tawala.eti nani alaumiwe kwa kufeli huku....?