Matokeo ya kidato cha pili 2014 lini

Matokeo ya kidato cha pili 2014 lini

kiss cool

Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
67
Reaction score
19
Napenda kujua lini matokeo ya form two ili tuwahi kuwahamisha watoto kabla hawajafungua shule
 
Kuna ndugu yng alienda kusahihisha anasema wamemaliza Jana.
 
jamii forum raha tupu yan ukiuliza swali unachagua jibu sahihi mwenyewe:
Mwezi wa pili mkuu.
Kinene said:
Tulia bado

kibene said:
Bado wana standardize

mdeki said:
Yatatoka mapema tuu

Mr liverpool fc said:
Matokeo ya kidato cha pili ni kabla ya tar20 January.

Na ndipo jibu sahihi kati ya yote linakadiriwa kuwa ni:
kiss cool said:
Bymwata:
Kuna ndugu yng alienda kusahihisha anasema wamemaliza Jana.
Asante kwa taarifa mkuu
 
Matokeo ya kidato cha pili yametoka lakini kufaulu katika shule mojamoja hayaakisi hali ya ufundishaji pia ushirikiano na wazazi na serikali
 
Walimu wa shule wafuatilie matokeo na kama hawakupeleka malipo ya ada ya mitihani majibu yanatolewa tu wenzangu.
 
Back
Top Bottom